Jumapili, 2 Septemba 2018

USICHOKE BADO NAFASI IPO

Huenda kila unacho panga unaona hakitekeleziki, unapanga mipango mingi ila hufikii hata mmoja. 

Usikate tamaa, bado muda upo. Tatizo ni kwamba hupendi kufanya unawaza kujaribu. 

Weka malengo mapya na uchague kitu unachopenda kisha thubutu usiseme unajaribu.

Hakuna maoni:

Fomu ya Anwani

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *